Перейти к содержимому

LIVE: MAKONDA ANAKABILIANA NA MASWALI MAGUMU | SAKATA LA JEZI LAMSUBIRI, JE ATARUKA KIUNZI?

TMC NEWS TV

0:00 / 0:00

LIVE: MAKONDA ANAKABILIANA NA MASWALI MAGUMU | SAKATA LA JEZI LAMSUBIRI, JE ATARUKA KIUNZI?

5 606 просмотров · Трансляция закончилась 15 часов назад
TMC NEWS TV
41,5 тыс. подписчиков
5 606 просмотров · Трансляция закончилась 15 часов назад
Fuatilia LIVE mkutano wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Paul Makonda, na waandishi wa habari. Waziri Makonda anakutana na waandishi wakati kukiwa na mvutano mkubwa kuhusu uzalishaji na matumizi ya jezi za Taifa Stars, pamoja na kauli zake zilizozua mjadala. Je, Waziri atajibu maswali yote yanayomhusu kuhusu sakata la jezi? Je, atatoa ufafanuzi gani kuhusu kauli zake na mchakato wa jezi hizo? Fuatilia TMC NEWS kwa majibu ya moja kwa moja, maswali ya waandishi na matukio yote kutoka kwenye mkutano huu. NEWS | Shaping The Future Asante kwa kufuatilia TMC NEWS. Subscribe, Like na Share ili kuendelea kupata habari za uhakika, matangazo ya moja kwa moja na uchambuzi wa kina kutoka Tanzania na duniani. 🔔 Washa arifa (Notifications) ili usipitwe na taarifa muhimu. 📢 Kwa matangazo, ushirikiano na maoni: 📧 tmcnewsmedia@gmail.com 📞 +255 674 075 414 🌐 Tufuatilie kwenye mitandao yote ya kijamii: @tmcnewsmedia #TMCNews #ShapingTheFuture #BreakingNews #TanzaniaNews #LiveNews#makonda #taifastars #tff #sandaland #jezi #mpira #michezo #tanzania #tmcnewsTMC#makonda #paulmakonda #taifastars #tff #sandaland #jezi #jezitanzania #jezitataifa #taifastarsjersey #tanzaniastars #michezo #soka #sokatanzania #football #tanzaniafootball #bongosports #habarileo #habaritanzania #wanamichezo #wizayachemichezo #wizayahabari #waandishiwahabari #mkutanonawaandishi #maswaliyawaandishi #makondalive #live #tmcnews #tmcnewslive #breakingnews #habarimoto #habariza leo #tanzania #dar es salaam #sportsnews #footballtanzania