Aliyeshindwa Kusajili Chama Afunguka: Ofisi ya Msajili, CCM Wana Hofu Usajili vyama Vipya
The Chanzo
0:00 / 0:00
Aliyeshindwa Kusajili Chama Afunguka: Ofisi ya Msajili, CCM Wana Hofu Usajili vyama Vipya
4 462 просмотра · 2 дня назад
The Chanzo
260 тыс. подписчиков
4 462 просмотра · 2 дня назад
Huyu ni mmoja wa waanzilishi wa chama cha Independent People’s Party (IPP).
Katika mahojiano yake na The Chanzo amezungumza kuhusu wamepambana kupata usajili wa chama chao lakini imeshindikana na hivyo ikawlazimu kwenda mahakamani ambapo Mahakama ilitoa uamuzi wa kutokua na shaka na uraia wao hoja ambayo msajili aliitumia kama kigezo ambacho wao kama waanzilishi hawajakimalisha.
Katika uamuzi wa Mahakama hakukua na shaka kuhusu uraia wao lakini katika maamuzi ya kuilazimisha Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com
Kutuunga mkono: https://thechanzo.com/support/
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo 2026 © All Rights Reserved.