Перейти к содержимому

mpya SIMULIZI YA MAPENZI: NILIKOSEA KUOA 1 na 2 BY ANKOJ_

Simulizi Mix

0:00 / 0:00

mpya SIMULIZI YA MAPENZI: NILIKOSEA KUOA 1 na 2 BY ANKOJ_

22 945 просмотров · 4 года назад
Simulizi Mix
225 тыс. подписчиков
22 945 просмотров · 4 года назад
Ulishawahi sikia ile kwamba jamaa katembea na bibi harusi siku moja kabla ya harusi na yeye sio bwana harusi.... Eheeee sasa varangati lake hili hapaaa.... Bibi harusi kafanya hivyo siku moja kabla ya harusi bwana harusi kasanuka kasema ye ndoa hataki tena... Kamati na wazee wakamuweka chini bwana harusi kwamba tushaandaa kila kitu we fumba macho tu ndoa ipite... Jamaa kapangwa kishingo upande kakubali , ndoa ikapita... Hapo sasa hiyo ndoano sasa aliyokutana nayo jamaa ndani ya ndoa unaweza sema nikajehanamu kake kadogo... 😀😀... Timbwili zima la kifunga mwaka hili hapa tumekusogezea... Kwa simulizi zaidi subscribe channel hii Simulizi Mix    / simulizifupi   na kwa simulizi fupi subscribe channel simulizi fupi bofya hapa    / simulizifupi