🔥 WAKATI WA SIFA NA KUMTUKUZA MUNGU | #40 TU WATU HURU
8ème CEPAC LA SOURCE GOMA
0:00 / 0:00
🔥 WAKATI WA SIFA NA KUMTUKUZA MUNGU | #40 TU WATU HURU
139 просмотров · 7 дн. назад
8ème CEPAC LA SOURCE GOMA
5,91 тыс. подписчиков
139 просмотров · 7 дн. назад
Karibu kwa mda huu wa sifa, tukimwinua Mungu kwa furaha, shukrani na moyo wa unyenyekevu. Kupitia nyimbo hizi, tukianza na wimbo namba 40 ya Nyimbo wa wokovu, “TU WATU HURU,” tutaendelea kumtukuza Yesu, kushuhudia uaminifu wake na kumpa Mungu heshima inayomstahili.
Tuungane pamoja kwa moyo mmoja, tukimsifu Bwana kwa wokovu wake, tukimkaribisha atutawale na kutuongoza katika uwepo wake, popote tulipo.
Orodha ya nyimbo:
Namba 40 – Tu Watu Huru
Atawaleta Walio Mbali Nasi, Atawaleta
Nikusifu Wewe Yesu, Niwe Nyumbani au Popote
Amina Lele
Ee Mungu Wangu, Pokea Heshima