Перейти к содержимому

Njooni Wapenzi Tufanye Shangwe - Fr. D. Ntampambata | Sauti Tamu Melodies | Pasaka | Easter songs

Sauti Tamu

0:00 / 0:00

Njooni Wapenzi Tufanye Shangwe - Fr. D. Ntampambata | Sauti Tamu Melodies | Pasaka | Easter songs

415 277 просмотров · 5 л. назад
Sauti Tamu
240 тыс. подписчиков
415 277 просмотров · 5 л. назад
wimbo wa pasaka Bwana amefufuka aleluya njooni tufanye shangwe Happy Easter, heri ya Pasaka, _ Njoni wapenzi tufanye shangwe, Mwokozi Bwana amefufuka Na tufanye shangwe, tuimbe aleluya, Mwokozi Bwana amefufuka. #SautiTamu #Zilipendwa #Pasaka Audio na video vimeandaliwa na Martin Mutua Munywoki Nyimbo nyingine za Pasaka zilizopendwa ni pamoja na Tazama Mimi, Njooni wapenzi tufanye shangwe, nimefufuka na bado ningali nanyi, asubuhi na mapema, kila penye ngoma, Utukuzwe ewe Baba Mungu utukuzwe, amefufuka alivyosema, chereko chereko, Hii ndiyo siku aliyoifanya Bwana, Bwana kafufuka tuimbe na nyinginezo