Перейти к содержимому

UZINDUZI WA KING DAVID MUSIC AWARDS | UYOLE - 11 Julai, 2026

Anglican Highlands Tv

0:00 / 0:00

UZINDUZI WA KING DAVID MUSIC AWARDS | UYOLE - 11 Julai, 2026

227 просмотров · Трансляция закончилась 2 месяца назад
Anglican Highlands Tv
1,78 тыс. подписчиков
227 просмотров · Трансляция закончилась 2 месяца назад
Kanisa Anglikana Tanzania, Dayosisi ya Southern Highlands (chini ya Idara ya Habari, Mawasiliano na Masoko kwa kushirikiana na TAYO), inawakaribisha rasmi katika Uzinduzi wa Tuzo za KDMA 2026 Achidikonari ya Watakatifu Wote. 🗓️ Jumamosi, 11 Julai, 2026 ⛪ Parish ya Familia Takatifu, Uyole Huu ni mwanzo wa safari ya kipekee yenye lengo la kuenzi urithi wa muziki wa Kanisa, kukuza maadili ya Kikristo, na kuwawezesha vijana kiroho na kiuchumi kupitia sanaa na ujasiriamali.