JINSI YA KUKATA KOTI YA MTU MWENYE KITAMBI 🔥 USIKOSE HII!
Suitland Tailoring College
0:00 / 0:00
JINSI YA KUKATA KOTI YA MTU MWENYE KITAMBI 🔥 USIKOSE HII!
1 057 просмотров · 2 месяца назад
Suitland Tailoring College
16,5 тыс. подписчиков
1 057 просмотров · 2 месяца назад
Unapata changamoto kushona au kukata koti kwa mtu mwenye kitambi? Video hii itakufundisha mbinu sahihi za kupima, kukata na kushona koti linalokaa vizuri na kumpa muonekano nadhifu na wa kuvutia.
✔️ Jifunze siri za mafundi wakubwa
✔️ Epuka makosa ya kawaida
✔️ Pata fiti nzuri hata kwa mwili wenye kitambi
Bonyeza SUBSCRIBE usikose mafunzo zaidi ya ushonaji! 👔✨
#Ushonaji #FashionDesign #Koti #Tailoring #Mitindo