Перейти к содержимому

MLINZI WA SIRI (THE SECRET GUARD) | Full Swahili Movie 2026 | Tanzanian Action, Love, Crime Film

Kusini360 Media

0:00 / 0:00

MLINZI WA SIRI (THE SECRET GUARD) | Full Swahili Movie 2026 | Tanzanian Action, Love, Crime Film

1 858 просмотров · 3 недели назад
Kusini360 Media
2,72 тыс. подписчиков
1 858 просмотров · 3 недели назад
MLINZI WA SIRI (THE SECRET GUARD) ni Swahili Movie mpya ya 2026, ikiwa imebeba Maudhui ya Action, Crime, Love, Mission na Usaliti. Charles, kijana anayelelewa katika familia yenye uwezo mkubwa, anaingia kwenye mahusiano na binti anayekuja katika maisha yake bila kujua kuwa nyuma ya mapenzi hayo kuna mission ya siri. Binti huyo ametumwa na kundi la majambazi ili kupata taarifa muhimu kuhusu familia ya Charles, mali zao na harakati zao. Mambo yanabadilika baada ya Charles kujikuta katikati ya shambulio la majambazi na tukio la kushangaza la mtu asiyejulikana kumuokoa. Polisi wanaanza kuchunguza tukio hilo, huku familia ya Charles ikiendelea kuwa kwenye hatari kubwa. Lakini kuna jambo moja ambalo familia haikulijua... WALIWEKEWA MLINZI WA SIRI. Je, mlinzi huyo ni nani? Kwa nini familia hiyo ilikuwa inalindwa kwa siri? Na nani alikuwa nyuma ya mpango wa kuivamia familia ya Charles? 🎬 MLINZI WA SIRI 🎭 Genre: Action • Love • Mission • Crime 🇹🇿 Tanzania / Swahili Movie ============================================ 👉Usisahau: 👍 Like | 💬 Comment | 🔔 Subscribe | 📤 Share 🔍Tufuatilie Pia: 📸 IG: https://www.instagram.com/kusini360?i... 📘 FB:   / 17tzswvaxu   🎵 TikTok: https://www.tiktok.com/@kusini360?_r=... Kwa matangazo & ushirikiano: 📧 Email: 📱 WhatsApp: https://wa.me/message/R7Y57CSJPJYAB1 Kusini360 Media – Sauti ya Kusini, Kila Kona. #mlinziwasiri #swahilimovie #tanzania #filamuzakiswahili #actionmovies #lovestory #mission #crimestory #bongomovies