Перейти к содержимому

🎶 NJIA YOTE NAONGOZWA KWA MUKONO WA MWOKOZI | Nyimbo za Mungu 164

Cyprus Christian Tabernacle Choir

0:00 / 0:00

🎶 NJIA YOTE NAONGOZWA KWA MUKONO WA MWOKOZI | Nyimbo za Mungu 164

138 просмотров · 9 дн. назад
Cyprus Christian Tabernacle Choir
38 подписчиков
138 просмотров · 9 дн. назад
Nyimbo za Mungu 164. NJIA YOTE NAONGOZWA KWA MUKONO WA MWOKOZI 1. Njia yote naongozwa kwa mukono wa Mwokozi ; Ninaona wema wake, sina shaka wala woga, Nina raha ya mbinguni, na salama tamu sana, :: Na katika mambo yote ananitendea mema :: 2. Njia yote naongozwa, ninategemea Yesu ; Analinda jaribuni, ananipatisha nguvu. Nikiona kiu hapa, nikichoka kwa safari, :: Ninapata maji mengi toka Mwamba wa milele :: 3. Njia yote naongozwa kwa mapendo yake bora ; Ananituliza sana na ahadi yake nzuri. Nitafika kwake mbingu kufurahi kwa milele, :: Nitaimba neno hili, Yesu aliniongoza :: Cfr/ SSS522 IH22 CH260 _________________________________________________________ Don’t forget to subscribe to our channel to join us for future hymns, praises, and choir ministrations. May God bless you richly! — Cyprus Christian Tabernacle Choir #CyprusChristianTabernacleChoir #CyprusChristianTabernacle #Worship #Hymns #ChoralMusic #Gospel #Louange