Перейти к содержимому

INAUMA. Filamu hii itakutoa machozi. KUNTII/ Biashara Haramu. Latest East African Film

Hussein Creator Media

0:00 / 0:00

INAUMA. Filamu hii itakutoa machozi. KUNTII/ Biashara Haramu. Latest East African Film

1 062 просмотра · 2 года назад
Hussein Creator Media
7,01 тыс. подписчиков
1 062 просмотра · 2 года назад
Maadili yanazidi kumomonyoka kulingana na maendeleo ya sayansi na teknolojia. Utandawazi unafanya vijana wengi kujifunza mambo tofauti ambayo huwaondoa katika tamaduni zao na kuoga mambo yasiyofaa katika jamii. Biashara ya kuuza mwili imekua janga kubwa balani Afrika. Vijana wengi wameitazamia biashara hii kama njia ya kupata mkate wao wa Kila siku. Zuki J Kilo ni mama ambae anawatumia mabinti kama sehemu ya kujiingizia kipato. Bi Zuki anawatoa mabinti kutoka MIKOa mbalimbali ya Tanzania na kuwaleleka katika Jiji la Dar es Salaam Kwa lengo la kuwauza na yeye kujipatia kipato. Je Nini kitaendelea katika biashara hii ya Bi Zuki? Fatilia kisa hiki ili uweze kujifunza.