DK. BITEKO ASISITIZA HESHIMA YA WALIMU ILINDWE KATIKA JAMII
Daily News Digital
0:00 / 0:00
DK. BITEKO ASISITIZA HESHIMA YA WALIMU ILINDWE KATIKA JAMII
155 просмотров · 1 дн. назад
Daily News Digital
285 тыс. подписчиков
155 просмотров · 1 дн. назад
GEITA: MBUNGE wa Jimbo la Bukombe ambaye ni Naibu Waziri Mkuu Mstaafu, Dk Dotto Biteko amewaomba viongozi wa vyama na serikali kulinda thamani na heshima ya walimu katika jamii.
Dk Biteko ametoa kauli hiyo Oktoba 09, 2026 wakati akizungumza kwenye maadhimisho ya siku ya Mwalimu Duniani kwa wilaya ya Bukombe yaliyofanyika katika mji mdogo wa Ushirombo.
Amesema kuna kila sababu ya kuheshimu mchango wa walimu kwenye jamii kwani wao ndio nguzo ya maendeleo na mafanikio ya uwekezaji unaofanywa katika sekta ya elimu duniani kote.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09