HATIMA YANGU EP 7 | FULL SIMULIZI| Kaka J| Kumbe Juma Sio Mtu Wakaida Ni Gost
Kaka J Simulizi
0:00 / 0:00
HATIMA YANGU EP 7 | FULL SIMULIZI| Kaka J| Kumbe Juma Sio Mtu Wakaida Ni Gost
504 просмотра · 4 дн. назад
Kaka J Simulizi
44 подписчика
504 просмотра · 4 дн. назад
Shani amejiingiza mwenyewe kwenye mtego!
Juma amemualika kwenye nyumba ya wageni ya kifahari, akamuandalia meza iliyojaa mapenzi na kumuomba zawadi moja tu - "Baki ulale na mimi usiku huu"
Shani bado ni bikira na ana hofu kubwa. Lakini kabla hajajibu, simu ya Juma kutoka kwa 'BOSS' inaita na Juma anaondoka ghafla usiku na kumuacha Shani peke yake.
Shani anaamua kurudi nyumbani usiku huo huo. Na ndipo anamkuta yule mtu wa ajabu aliyekuwa ananyata mlangoni kwao kwa siku mbili mfululizo!
Safari hii jamaa kaacha bahasha. Ndani kuna ujumbe wa kutisha:
"SHANI, USIKUBALI KULALA NA JUMA. JUMA SIYO MTU. UKILALA NAYE, UTAKUFA. NA MIMI NI BABA YAKO."
Lakini baba yake Shani alikufa miaka 10 iliyopita! Huyu ni nani? Na Juma kazi yake ni nini hasa mpaka anaitwa na BOSS usiku?
SIRI NZITO ITAFUNUKA EPISODE YA 8 KESHO SAA 2 USIKU.
COMMENT "NATAKA 8" NA SUBSCRIBE ILI USIPITWE!
#hatimayangu #simulizi #kakaJsimulizi #hadithizakiswahili #simulizimpya