MIUJIZA 15 ya KUSHANGAZA KUHUSU PICHA ya MONALISA na YOTE YALIYO NYUMA ya PAZIA | THE BRAIN FOOD
Global TV Online
0:00 / 0:00
MIUJIZA 15 ya KUSHANGAZA KUHUSU PICHA ya MONALISA na YOTE YALIYO NYUMA ya PAZIA | THE BRAIN FOOD
6 116 просмотров · 3 года назад
Global TV Online
5,92 млн подписчиков
6 116 просмотров · 3 года назад
MIUJIZA 15 ya KUSHANGAZA KUHUSU PICHA ya MONALISA na YOTE YALIYO NYUMA ya PAZIA | THE BRAIN FOOD
Duniani kuna vitu vya kushangaza na kustaajabisha sana.
Basi mchoro wa Monalisa ni miongoni mwa picha ya ajabu pengine kuna mambo mengi yanayoendelea nyuma ya pazia.
Mchuro huo, unaongoza kujeruhi na kuuwa watu. Wanasiasa, wasanii na wanahistoria mbalimbali wamekuwa wakifunga safari kwenda kuutembelea.
Kwa kila siku moja hutembelewa na zaidi ya watu 30,000 na wengi wao wakiwa ni wanaume. Wealio wengi wanajiuliza maswali mengi juu ya opicha hii kuanzia uzuri wa mrembo huyo, na je Monalisa ni nani hasa?
Leo The Brain Food, inakuletea Maajabu 15 ya kushangaza kuhusu picha maarufu ya Monalisa. Yatakuacha mdomo wazi.
Hajji wa Kassim
Mona Lisa ni mchoro maarufu wa mwanzoni mwa karne ya 16, Mchoro uliyochorwa na mwanasayansi na mchoraji Leonardo da Vinci. Inaaminika kuwa ni moja kati ya michoro Maarufu zaidi duniani kote. Kwa sasa mchoro huu unapatikana katika jumba la maonyesho la mjini Paris maarufu kama Louvre.
Kinacho wavutia watu wengi zaidi ni Tabasamu lake lisilo la kawaida pamoja na mvuto wa sura yake ambao unawashawishi watu wengi kuutembelea kwa zaidi ya Karne Tano mfululizo. Ili kupata ufumbuzi wa mambo 15.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline