LITANIA YA WATAKATIFU WOTE | MISA YA USHEMASI - JIMBO KUU LA DAR ES SALAAM
Radio Maria Tanzania
0:00 / 0:00
LITANIA YA WATAKATIFU WOTE | MISA YA USHEMASI - JIMBO KUU LA DAR ES SALAAM
938 просмотров · 9 мес. назад
Radio Maria Tanzania
101 тыс. подписчиков
938 просмотров · 9 мес. назад
Madhehebu ya kutolewa kwa Daraja Takatifu ya Ushemasi kwa waliokuwa Mafrateri 12 wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, ambapo Litania ya Watakatifu wote iliimbwa wakati Mashemasi hao wateule wakiwa wamejilaza kifudifudi ishara ya kuufia Ulimwengu na mambo yote.
Misa Takatifu imeadhimishwa na Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu Henry Mchamungu katika Viwanja vya Msimbazi, Jimboni humo pia ilihudhuriwa na Askofu Mkuu wa Jimbo hilo Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwai`chi OFMCap, Mapadre, Mashemasi, Mafrateri na Waumini kutoka maeneo mbalimbali ya Jimbo Hilo.
www.radiomaria.co.tz#RadioMariaTz