🔴 LIVE | IBADA YA KIPAIMARA KWA WANAFUNZI WA CCT 25/10/2026.
Martin Luther School Dodoma
0:00 / 0:00
🔴 LIVE | IBADA YA KIPAIMARA KWA WANAFUNZI WA CCT 25/10/2026.
710 просмотров · Трансляция закончилась 3 дн. назад
Martin Luther School Dodoma
610 подписчиков
710 просмотров · Трансляция закончилась 3 дн. назад
CCT KIPAIMARA – MARTIN LUTHER SCHOOL, DODOMA
Karibu kushiriki nasi moja kwa moja katika ibada ya Kipaimara kwa wanafunzi wa CCT inayofanyika hapa Shule ya Msingi Martin Luther, Dodoma.
Ibada hii ni wakati muhimu wa kiroho, tunapokusanyika pamoja kushuhudia na kushiriki katika ibada hii takatifu, huku tukitoa shukrani na kumtukuza Mungu.
🙏 Karibu uungane nasi LIVE kutoka Martin Luther School, Dodoma.
MARTIN LUTHER SCHOOL – DODOMA
“High Quality Education for the New Generation”
🔴 Tazama, shiriki na waalike wengine kushuhudia nasi.