Перейти к содержимому

KUMTAFSIRI KIZIWI

KAF

0:00 / 0:00

KUMTAFSIRI KIZIWI

213 просмотров · 4 месяца назад
KAF
2,51 тыс. подписчиков
213 просмотров · 4 месяца назад
Watu wengi wanaojifunza lugha ya alama zaidi hujifunza kukalimani kutoka lugha ya mazungumzo kwenda lugha ya alama na kuzani kuwa wamemaliza na wanaacha njia nyengine ya kukalimani kutoka lugha ya alama kwenda lugha ya mazungumzo. Karibuni katika video hii ambayo inaonesha jinsi Mkalimani wa lugha ya alama anamkalimani kiziwi, naamini video hii itawasaidia wale waote wanao pambania jamii Jumuishi. #Kheir Simai #Mkalimani #Lugha ya alama #tanzania #zanzibar