Перейти к содержимому

WIVU WANGU - PART 01 | SIMULIZI MPYA

Ankojay Simulizi

0:00 / 0:00

WIVU WANGU - PART 01 | SIMULIZI MPYA

6 675 просмотров · 7 часов назад
Ankojay Simulizi
169 тыс. подписчиков
6 675 просмотров · 7 часов назад
Taarifa za sherehe ya kuvishana pete ya uchumba kati ya bosi na mpenzi wake wa siku nyingi yalikuwa maumivu makali moyoni mwangu kama kuupasua moyo kwa kisu butu bila ganzi. Nakiri kuumia na kukosa raha kufikia hatua ya kutamani ahera kama nikimkosa, sikukubali kumuona akioa mwanamke mwingine huku nikishuhudia kwa macho yangu.