UINULIWE BWANA_BY_BARAKA_-_MINGA
Minister Baraka Minga
0:00 / 0:00
UINULIWE BWANA_BY_BARAKA_-_MINGA
510 просмотров · 1 г. назад
Minister Baraka Minga
416 подписчиков
510 просмотров · 1 г. назад
USI subili utendewe Jambo na Mungu ndipo umshukuru.
mshukuru Mungu hata kama huja jibiwa kile ulicho muomba. Kuna nguvu ya Mungu katika Shukulani Paulo na sira wame fungwa gelezani Hawa litazami gereza Bali Wana mtazama Mungu anae weza kuwa toa humo gelezani. Wana mwimbia Mungu Wana mshukulu Wana mwabudu.
mshukuru Mungu kwa kila wakati bila kuangalia shida ulizo nazo Wala teso ulilo nalo.
_uinuliwe Bwana ni wimbo ulio jaa maneno ya shukulani na maneno ya sifa. kila wakati na kila saa Ina takiwa tuende mbele za Mungu kwa shukulani na sifa na kumu abudu.
AMEN
@bishopelibarikisumbe7609
@DrIpyana @gwamakamwakalinga6705 @boazdanken @Ministerguc @agapegospelband @
@henrickmruma @NeemaGospelChoir
@ebukasongs