Перейти к содержимому

KUITEKA BARAKA YA WAKATI UJAO Bila Kujali Misimu Ya Maisha Unayopitia ~ Rev. Dr. Eliona Kimaro

Hub of Wisdom Inc.

0:00 / 0:00

KUITEKA BARAKA YA WAKATI UJAO Bila Kujali Misimu Ya Maisha Unayopitia ~ Rev. Dr. Eliona Kimaro

3 012 просмотров · 2 дн. назад
Hub of Wisdom Inc.
155 тыс. подписчиков
3 012 просмотров · 2 дн. назад
Je, unaruhusu misimu unayopitia sasa iamue kesho yako? Maisha yana misimu tofauti; kuna wakati wa furaha, changamoto, ukame na mafanikio. Lakini hali unayopitia leo haimaanishi kuwa ndivyo maisha yako yatakavyokuwa milele. Katika ujumbe huu, *Rev. Dr. Eliona Kimaro* anatufundisha namna ya kujiandaa na kuiteka baraka ya wakati ujao bila kukatishwa tamaa na misimu ya sasa. Usikubali msimu mgumu ukufanye usahau kile ambacho Mungu amekuwekea mbele yako. Endelea kuamini, kujiandaa na kuchukua hatua! Tazama hadi mwisho, shiriki na mtu anayehitaji ujumbe huu. #ElionaKimaro #Baraka #Imani #MaishaYaKiroho #HWMEDIA