Mwili MMOJA|| Siri KUBWA|| Utatu Mtakatifu series
Ngessi Media
0:00 / 0:00
Mwili MMOJA|| Siri KUBWA|| Utatu Mtakatifu series
143 просмотра · 3 недели назад
Ngessi Media
451 подписчик
143 просмотра · 3 недели назад
MWILI MMOJA
Maandiko yanatufunulia juu ya mwanamume na mwanamke kuwa Mwili mmoja.
Hoja hii Paulo anasema ni siri kubwa sio siri kwa maana ya Mungu hataki ieleweke kwa watu bali ni ukweli wake ambao amekuwa akiufunua kwa AWAMU katika vizazi mbalimbali
Katika Mwanzo 2:24, Mungu aliunganisha mume na mke kuwa mwili mmoja.
Yesu alithibitisha ukweli huu katika Mathayo 19:4–6, akisisitiza kwamba alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe. Mtume Paulo katika Waefeso 5:31–32 anafunua kwamba umoja huu ni mfano wa uhusiano wa Kristo na Kanisa.
Na hivyo ndoa haitazamwi kwa kwa namna ya kijamii tu, bali NDOA hufunua ukweli wa kina ww KIROHO
Usikose kipindi hiki cha kinachokujia hapa Ngessi Media siku ya JUMANNE saa MOJA KAMILI Asubuhi ili ujifunze ukweli wa Neno la Mungu kwa kina kuhusu Utatu Mtakatifu
Usisahau ku subscribe channel hii na kushare ujumbe huu na wengine
Mungu akubariki sana
#Utatu Mtakatifu series #ibada #Mafundisho ya kanisa