TUVUKE, TWENDE NG'AMBO. na prophet, emmanuel mziray. the royal altar church
Madhabahu ya kifalme
0:00 / 0:00
TUVUKE, TWENDE NG'AMBO. na prophet, emmanuel mziray. the royal altar church
38 просмотров · 9 дней назад
Madhabahu ya kifalme
19 подписчиков
38 просмотров · 9 дней назад
SOMO LA JUMAPILI: TUVUKE, TWENDE NG’AMBO
Ni wakati wa kuvuka kutoka tulipo na kwenda hatua nyingine ambayo Mungu ametukusudia.
Kupitia somo hili, utajifunza umuhimu wa kuwa na imani, kusimama katika Neno la Mungu na kuthubutu kuvuka mipaka ya hofu na changamoto.
Ujumbe: Tuvuke, Twende Ng’ambo
Mungu akubariki unapousikiliza ujumbe huu. Usisahau ku Like, Comment, Share na Subscribe ili kuendelea kupata mafundisho mengine.
#TuvukeTwendeNgambo #Mahubiri #SomoLaJumapili #MadhabahuYaKifalme #EmmanuelMziray #Yesu #NenoLaMungu