Перейти к содержимому

SOMO: MAOMBI YA KUTEGWA NA VIFUNGO NA NGUVU ZINAZOKUKWAMISHA

MADHABAHU YA NURU YA WOKOVU

0:00 / 0:00

SOMO: MAOMBI YA KUTEGWA NA VIFUNGO NA NGUVU ZINAZOKUKWAMISHA

173 просмотра · Трансляция закончилась 3 дн. назад
MADHABAHU YA NURU YA WOKOVU
342 подписчика
173 просмотра · Трансляция закончилась 3 дн. назад
WINDOW OF HOPE MINISTRIES W.H.M. NURU YA WOKOVU CHURCH 📖 MADHABAHU YA NURU YA WOKOVU 🔥 KARIBU KWENYE MAOMBI YA SIKU 🔥 SOMO: MAOMBI YA KUTEGWA NA VIFUNGO NA NGUVU ZINAZOKUKWAMISHA Unakaribishwa kwenye maombi maalumu ya kumwomba Mungu atufungue kutoka katika vifungo vyote vinavyotuzuia kusonga mbele katika maisha yetu ya kiroho, kiuchumi, kifamilia na katika mipango yetu. Njoo kwa imani, ukiamini kwamba Mungu anaweza kufungua milango iliyofungwa, kuvunja kila kizuizi na kukuongoza katika hatua mpya za maisha yako. 📅 MUDA: SAA 4:00 USIKU 📺 TUTAKUWA LIVE YOUTUBE MADHABAHU YA NURU YA WOKOVU 👤 MHUBIRI: PASTOR MOSES YOHANA 📖 “Basi Mwana akiwaweka huru, mtakuwa huru kweli kweli.” — Yohana 8:36 🙏 USIKOSE MAOMBI HAYA! Mwalike ndugu, rafiki na familia yako tushirikiane kumtafuta Mungu. 💰 NAMBA YA SADAKA — M-PESA Jina: Moses Yohana Andrea Namba: +255 755 562 992 ✨ NURU YAKO YA MAFANIKIO INAANZA HAPA! KWA MUNGU YOTE YANAWEZEKANA. SISI NDIYO WALE TUNAO TAWALA NA YESU KRISTO 🔥🙏🇹🇿