Перейти к содержимому

Jifunze Kiarabu - Sehemu ya 1 (Darsa ya 1/1)

Jifunze Uislamu

0:00 / 0:00

Jifunze Kiarabu - Sehemu ya 1 (Darsa ya 1/1)

42 521 просмотр · 8 лет назад
Jifunze Uislamu
12,7 тыс. подписчиков
42 521 просмотр · 8 лет назад
Hii ni sehemu ya kwanza ya somo la kwanza. Somo la kwanza lina sehemu mbili. Video itayofuata itaelezea sehemu ya pili ya somo la kwanza. Katika somo hili utajifunza jina la kuashiria. Mfano: HIKI, HUYU n.k Ingia katika somo upate kunufaika zaidi. Kwa maswali na maoni usisite kutuandikia kwenye comment box hapa chini. Kwa mawasiliano namba zetu ni +255625528326 / jifunzeuislamu@gmail.com