Перейти к содержимому

RAIS HATAKI UMPELEKEE MCHELE ANATAKA KAZI- RC MALISA

Cg Online Tv

0:00 / 0:00

RAIS HATAKI UMPELEKEE MCHELE ANATAKA KAZI- RC MALISA

3 478 просмотров · 4 нед. назад
Cg Online Tv
97,6 тыс. подписчиков
3 478 просмотров · 4 нед. назад
Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Beno Malisa, amemtaka Mkuu wa Wilaya ya Uyui, Christopher Andendekisye Kitwika, kuhakikisha anamwakilisha vyema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kufanya kazi kwa bidii na kuwatumikia wananchi wa Wilaya ya Uyui. Malisa ameyasema hayo leo, Oktoba 8, 2026, mara baada ya kumuapisha Kitwika kuwa Mkuu wa Wilaya ya Uyui katika hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Isike Mwanakiyungi, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora. Amesema uteuzi huo ni dhamana kubwa aliyopewa na Rais Samia, hivyo anapaswa kuhakikisha anatekeleza majukumu yake kwa uadilifu, kusikiliza changamoto za wananchi na kusimamia utekelezaji wa shughuli za maendeleo katika wilaya hiyo.