🔴IBADA YA UTANGULIZI WA UBARIKIO WA VIONGOZI WA JIMBO.//. TUNDUMA MAJENGO.
FPCT TUNDUMA MAJENGO
0:00 / 0:00
🔴IBADA YA UTANGULIZI WA UBARIKIO WA VIONGOZI WA JIMBO.//. TUNDUMA MAJENGO.
8 просмотров · Трансляция закончилась 1 час назад
FPCT TUNDUMA MAJENGO
238 подписчиков
8 просмотров · Трансляция закончилась 1 час назад
Halleluya!
Tunawasalimu kwa jina la Bwana wetu Yesu Kristo.
Tunambariki sana Mungu kwa wewe uliyepata Neema ya kuungana nasi katika ibada hii inayofanyika moja kwa moja kutoka hapa kanisa la FPCT Tunduma linaloongozwa na Askofu Mkuu wa Jimbo, Mch. Gaspar Mizengo, Mungu amekubariki sana.
Tunamshukuru Mungu pia kwa wewe ambaye umeendelea kuwaalika marafiki, ndugu, jamaa na familia katika Kristo katika ibada hii, Mungu akubariki sana na tunakupenda sana.
Kama bado huja - subscribe kwenye channel yetu hii tafadhali fanya hivo ili uwe wa kwanza kupata updates zote zinazohusiana na ibada zinazokujia moja kwa moja kutoka hapa kanisa la FPCT Tunduma, bila kusahau ku - comment, ku - like na ku - share.
Tunakupenda sana.
Tunakuthamini sana.
Mungu akubariki sana.
#tundumafpct
#ibadayajumapili