Перейти к содержимому

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 21.10.2026 | Mchana | Swahili Habari leo | Podcast

DW Kiswahili

0:00 / 0:00

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 21.10.2026 | Mchana | Swahili Habari leo | Podcast

5 578 просмотров · Трансляция закончилась 4 часа назад
DW Kiswahili
337 тыс. подписчиков
5 578 просмотров · Трансляция закончилась 4 часа назад
Tuliyokuandalia katika Dunia Yetu Leo Mchana: Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Chadema, Tundu Lissu, ameteuliwa kuingia kwenye kinyang'anyiro cha kuwania Tuzo ya Sakharov, inayotolewa na Bunge la Ulaya, kuwatambuwa watetezi wa haki za binaadamu na uhuru ulimwenguni. Zaidi ya watu 150 wameuwawa kutokana na shambulio la droni lililolenga soko la Amiet katika eneo la Abyei, lenye utata wa umiliki kati ya Sudan na Sudan Kusini. -Saudi Arabia imesema imezidungua droni kadhaa zilizokuwa zikielekea katika maeneo mbalimbali ya ufalme huo, ikiwemo mkoa wa Madina, wakati mlipuko ukiripotiwa karibu na uwanja wa ndege wa Aden nchini Yemen. #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliMchana #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'follow' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.