Перейти к содержимому

#LIVE: KIBADA DIGITAL EVANGALISM EVENTS || MAMBO YOTE MAPYA || SIKU YA 1 || 12.09.2026

Southern Tanzania Union Mission

0:00 / 0:00

#LIVE: KIBADA DIGITAL EVANGALISM EVENTS || MAMBO YOTE MAPYA || SIKU YA 1 || 12.09.2026

862 просмотра · Трансляция закончилась 15 часов назад
Southern Tanzania Union Mission
17,1 тыс. подписчиков
862 просмотра · Трансляция закончилась 15 часов назад
KIBADA DIGITAL EVANGELISM EVENTS 2026 Karibu sana kushiriki nasi katika Mkutano huu wa Kibada Digital Events, unayorushwa mubashara kutoka Kanisa la Waadventista wa Sabato Kibada. Ungana nasi kila jioni kupokea mafundisho yatakayokujenga kiroho, kimwili, na familia yako kupitia mada mbalimbali za Kaya na Familia, Elimu ya Afya, pamoja na Mahubiri ya Neno la Mungu yanayoleta matumaini na ukombozi. Mkutano huu unarushwa pia mubashara kupitia kurasa za Southern Tanzania Union Mission (STU) kwenye Instagram & Tiktok (@STUADVENTIST_1) na Facebook (Southern Tanzania Union Mission). Usisahau kubonyeza kitufe cha Subscribe na kuwasha kengele ya taarifa ili usipitwe na vipindi vyetu, weka Like, andika maoni yako, na shiriki Baraka hizi pamoja na ndugu, jamaa na marafiki ili kwa pamoja tupate baraka hizi. #KibadaDigitalEvents #MamboYoteMapya #TumainiLinaanziaHapa