NORTH AFRICAN BAPTIST CHURCH - AGAPE CHILDREN'S CHOIR: MUNGU TUNAOMBA NGUVU YA KUSHINDA ADUI ZETU.
NPHX - ABC - Agape Children's Choir
0:00 / 0:00
NORTH AFRICAN BAPTIST CHURCH - AGAPE CHILDREN'S CHOIR: MUNGU TUNAOMBA NGUVU YA KUSHINDA ADUI ZETU.
486 просмотров · 2 недели назад
NPHX - ABC - Agape Children's Choir
60 подписчиков
486 просмотров · 2 недели назад
This song is to comfort you who have given up hope in the battle you are going through. God is the one who gives us victory in everything.
May God bless these children and their parents. Continue to serve God, He will reward you. God loves all people. May God bless you and may God continue to make you instruments of proclaiming His Gospel. Amen.
We ask that all comments be ethical and advisory. These children did a great job comparing their singing skills.
Wimbo huu niwakutia faraja wewe uliye kataa tamaa katika vita unayopitia. Mungu ndiye anayetushindia kwa yote.
Mungu awabariki watoto hawa pamoja na wazazi wao. Endeleeni kumtumikia Mungu ndiye atakayewalipa. Mungu anapenda watu wote. Mbarikiwe na Mungu aendelee kuwafanya vyombo vya kutangaza Injili yake. Amen.
Tunaomba maoni yote yawe ya kimaadili na yenye kushauri. Watoto hawa walifanya kazi kubwa tulinganisha na ujuzi wao katika mabo ya uimbaji.
#fypシ #viral #viralvideo #video #hope #joy #peace #gospel #love #fypシ #foryou #foryoupage #forgiveness #music #musicvideo #honesty #perseverance #encouragement #endurance #welcome #allowing #gospelchoir #hopeathome