Перейти к содержимому

Dr. Zakir Naik Muhammed Katika Biblia. Muhammad ameandikwa wapi katika Biblia?

Ushahidi Films

0:00 / 0:00

Dr. Zakir Naik Muhammed Katika Biblia. Muhammad ameandikwa wapi katika Biblia?

10 773 просмотра · 4 года назад
Ushahidi Films
2,05 тыс. подписчиков
10 773 просмотра · 4 года назад
Dr. Zakir Naik anasema kwamba Muhammad aliandikwa katika Biblia. Katika Kumbukumbu la Torati 18:18. Je! ni kweli? Katika Torati Kum 18:18 inasema: Mimi nitawainulia nabii miongoni mwa ndugu zao mfano wako wewe, nami nitatia maneno yangu kinywani mwake, naye atawaambia yote nitakayomwamuru. Mstari huu unamzungumzia nani? Dr. Zakir's original video    • Prophet Muhammad (pbuh) Prophesied in the ...