Перейти к содержимому

Tutaimba Hallelujah by Solomon Mkubwa (official Audio)

Solomon Mkubwa

0:00 / 0:00

Tutaimba Hallelujah by Solomon Mkubwa (official Audio)

75 046 просмотров · 3 года назад
Solomon Mkubwa
94,5 тыс. подписчиков
75 046 просмотров · 3 года назад
Watakatifu wote makao yao ni Mbiguni. Shida, taabu na matatizo zote tutawacha hapa duniani. Mbiguni hakuna shida, njaa, matatizo wala magonjwa. Tutaimba na kusherekea pamoja na Malaika, tutakula meza moja na Bwana huku akitupanguza machozi. Tuimbe huu wimbo pamoja..........