Перейти к содержимому

🔴 MUBASHARA | IBADA YA JUMAPILI | NEW JERUSALEM FREE METHODIST CHURCH

New Jerusalem Church - Dayton, OH

0:00 / 0:00

🔴 MUBASHARA | IBADA YA JUMAPILI | NEW JERUSALEM FREE METHODIST CHURCH

229 просмотров · Трансляция закончилась 5 дней назад
New Jerusalem Church - Dayton, OH
133 подписчика
229 просмотров · Трансляция закончилась 5 дней назад
Karibu kwenye Ibada ya Mubashara kutoka New Jerusalem Free Methodist Church. Jiunge nasi katika sifa na kuabudu, maombi, na Neno la Mungu. Tunaomba ibada ya leo ikubariki, ikutie nguvu, na ikusogeze karibu zaidi na Yesu Kristo. “Nalifurahi waliponiambia, Twende nyumbani mwa Bwana.” — Zaburi 122:1 📍 New Jerusalem Free Methodist Church 🕥 Ibada Kila Jumapili • Saa 10:30 Asubuhi Ukibarikiwa na ibada hii, bonyeza Like, Share, Subscribe, na mwalike mtu mwingine aabudu pamoja nasi.