Перейти к содержимому

Darsa ya Tafsiri: Surat Al-Baqarah Aya 106 - 110 | Kufutwa kwa Aya Katika Qur'an | Masjid Hidaya

Manhaj Online TV

0:00 / 0:00

Darsa ya Tafsiri: Surat Al-Baqarah Aya 106 - 110 | Kufutwa kwa Aya Katika Qur'an | Masjid Hidaya

283 просмотра · 1 дн. назад
Manhaj Online TV
13,4 тыс. подписчиков
283 просмотра · 1 дн. назад
🎧 PATA AUDIO ZA DARSA ZOTE: Kupata audios za darsa hizi zote kwa mfululizo, bonyeza link hii: https://drive.google.com/drive/folder... 📌 Muongozo: 00:00 - Utangulizi 03:02 - Murajaa: Maswali na Hukumu za Uchawi 14:55 - Surat Al-Baqarah Aya 106: Maana ya "An-Naskh" 25:20 - Namna Hukumu Zinavyofutwa Kisheria 31:30 - Mfano: Mabadiliko ya Hukumu Katika Swaumu ya Ramadhani 34:08 - Hekima za Allah Katika Kufuta na Kubadilisha Hukumu 40:06 - Aya 107: Ufalme na Mamlaka ya Allah Mbinguni na Ardhini 44:08 - Aya 108: Katazo la Kuuliza Maswali ya Kejeli kama Bani Israil 49:54 - Aya 109: Matamanio ya Ahlul Kitaab na Wito wa Kusamehe 01:01:40 - Aya 110: Kusimamisha Swala, Kutoa Zaka na Malipo ya Kheri 01:04:15 - Ufafanuzi wa Wanachuoni Kuhusu Aya za Nas-kh 01:17:00 - Hitimisho #Tafsiri #Quran #SuratAlBaqarah #ManhajOnlineTV #Darsa 📌 Subscribe kwenye chaneli yetu ya Manhaj Online TV kwa darsa zaidi, mawaidha, na nasaha za kisheria. 🔔 Gusa kengele ili uwe wa kwanza kupata taarifa kila tunapoweka video mpya.