Перейти к содержимому

LATRA yafanya Ukaguzi wa Reli na Treni ya Kisasa (SGR)

LatraTV

0:00 / 0:00

LATRA yafanya Ukaguzi wa Reli na Treni ya Kisasa (SGR)

5 820 просмотров · 2 года назад
LatraTV
7,46 тыс. подписчиков
5 820 просмотров · 2 года назад
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), kupitia idara ya reli imefanya ukaguzi wa reli ya kisasa (SGR) ili kuhakikisha treni ya SGR na miundombinu yake iko usalama katika kuelekea kuanza rasmi kwa safari za Dar es Salaam na Dodoma ifikapo Julai 25, 2024.