Перейти к содержимому

Polisi Dar Watoa Onyo Kuelekea Siku ya Hukumu ya Kesi ya Lissu

The Chanzo

0:00 / 0:00

Polisi Dar Watoa Onyo Kuelekea Siku ya Hukumu ya Kesi ya Lissu

2 194 просмотра · 10 ч назад
The Chanzo
264 тыс. подписчиков
2 194 просмотра · 10 ч назад
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema linafuatilia taarifa za madai ya baadhi ya watu kuhamasishana kwa ajili ya kuingia jijini Novemba 6, 2026, huku baadhi yao wakidaiwa kupanga kufanya fujo, vurugu na vitendo vya hujuma. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, amesema jeshi hilo halitavumilia mipango ya vitendo vya kihalifu na litachukua hatua kwa watakaobainika kuhusika, kwa kuzingatia misingi ya kisheria. Onyo hilo linatolewa wakati hukumu ya kesi ya uhaini inayomkabili kiongozi wa CHADEMA, Tundu Lissu, ikitarajiwa kutolewa Novemba 6, 2026. Unaweza kutufuatilia kupitia; TWITTER:   / thechanzo   INSTAGRAM:   / thechanzo   FACEBOOK:   / thechanzo   TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_... Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com Kutuunga mkono: https://thechanzo.com/support/ Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105 The Chanzo 2026 © All Rights Reserved.