Перейти к содержимому

AL-RAHMAH SCHOOLS

Al-Rahmah Complex - Tanzania

0:00 / 0:00

AL-RAHMAH SCHOOLS

10 747 просмотров · 4 г. назад
Al-Rahmah Complex - Tanzania
254 подписчика
10 747 просмотров · 4 г. назад
🔮 AL-RAHMAH DEVELOPMENT COMPLEX 🔮 Wasimamizi wa AL-RAHMAH SCHOOLS 👉🏼 Shule ni za kutwa na bweni kuanzia awali, Msingi hadi Sekondari. Shule Zinakuletea huduma bora za kielimu katika mazingira yenye hadhi ya kimataifa. 👉🏼 Kwa Masomo ya Qur’an, dini, lugha za kiarabu, kiingereza na michepuo yooote ya Sayansi na Biashara. Yanayofundishwa na walimu wazoefu na wabobezi katika malezi na taaluma. 👉🏼 Shule zina mabweni makubwa, madarasa mazuri na ya kisasa, Kumbi za mikutano, maabara, Computer, Maktaba, viwanja vya michezo, na vyumba vya kujifunza kwa msaada wa teknolojia yaani (Technology Aided Learning). 👉🏼 Vilevile usafiri kwa Watoto wanaosoma kutwa, unapatikana. 👉🏼 Watoto wanakula Vizuri na muda wote wapo kwenye ulinzi na usalama wakifurahia masomo yao. ⚠️ Ifahamike Tumejidhatiti kikamilifu kwa Vifaa vya kisasa vya kugundua na kudhibiti majanga ya moto endapo yatatokea. 👉🏼 Njoo umuandikishe mwanao sasa, Ada zetu ni nafuu sana. Huwezi kupata popote pale. ☎️ Wasiliana nasi sasa au tupigie kupitia nambari: 📞 Al-Rahmah Pre & Primary School: 👉🏽 +255 677 330 099 📞 Al-Rahmah Secondary School: 👉🏽 +255 677 990 033 📞 Al-Rahmah Development Complex: 👉🏽 +255 673 526 644 au fika shuleni, Mkuranga mkoa wa Pwani, Karibu na shule ya msingi Ngunguti, kilomita moja na nusu (1.5 Km) kutoka barabara ya Kilwa. Vilevile ni kilomita Sitini tu (60 Km) kutoka Dar-Es-Salaam. Bonyenza Link hii hapa chini kuona Location yetu katika Google Maps 👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽 https://maps.app.goo.gl/msnpyRnsBXYts... Nafasi ni chache, wahi mapema umuandikishe mwanao sasa. Pia Tutembelee katika kurasa zetu kujionea zaidi Facebook:   / alrahmahcomplextz   Instagram: https://instagram.com/alrahmahschools... Au tutumie ujumbe (message) kupitia: WhatsApp: 👉🏽 Al-Rahmah Pre & Primary School: https://wa.me/255677330099?text=Hello... 👉🏽 Al-Rahmah Secondary School: https://wa.me/255677990033?text=Hello... 👉🏽 Al-Rahmah Development Complex: https://wa.me/255673526644?text=Hello... Telegram: 👉🏽 Al-Rahmah Development Complex: https://t.me/alrahmahcomplextz 🔮 AL-RAHMAH SCHOOLS 🔮 🔅 Always the Best 🔅