Перейти к содержимому

MRATIBU WA MAONESHO MHANDISI MAHAMI ANAWAKARIBISHA WANANCHI KWENYE MAONESHO YA NANE NANE – MOROGORO

88 Kanda ya Mashariki Online TV

0:00 / 0:00

MRATIBU WA MAONESHO MHANDISI MAHAMI ANAWAKARIBISHA WANANCHI KWENYE MAONESHO YA NANE NANE – MOROGORO

184 просмотра · 3 недели назад
88 Kanda ya Mashariki Online TV
321 подписчик
184 просмотра · 3 недели назад
MRATIBU WA MAONESHO MHANDISI SHABANI MAHAMI ANAWAKARIBISHA WANANCHI KWENYE MAONESHO YA NANE NANE – KANDA YA MASHARIKI, MKOA WA MOROGORO Karibu katika Banda la Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga hapa Viwanja vya Mwalimu Julius K. Nyerere, Mkoa wa Morogoro. Tupo hapa tangu Agosti 01–08, 2026 kukuhudumia ewe Mkulima, Mfugaji, Mvuvi pamoja na Wananchi. Karibu ujifunze, ujionee na upate fursa za teknolojia za kisasa za kilimo, mifugo, uvuvi, biashara na ubunifu zitakazokuwezesha kuongeza tija na kukuza kipato chako. Kaulimbiu: "Tambua Soko, Ongeza Tija, Kutekeleza Dira 2050." Nane Nane 2026 – Kilimo ni Uchumi, Maendeleo ni Yetu Sote. Karibu Morogoro! #KaziNaUtuTunasongaMbele #MkingayaMaendeleo @samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano @owm_tz @ortamisemi @wizara_ya_kilimo @mifugonauvuvi @orvijana @batilda.burian @ofisiyamkuuwamkoawatanga @mwakioja @mkingadc