Перейти к содержимому

Jinsi ya Kushoot na Ku edit scene ya maongezi kwa kutumia camera Moja

Richstar

0:00 / 0:00

Jinsi ya Kushoot na Ku edit scene ya maongezi kwa kutumia camera Moja

13 861 просмотр · 8 лет назад
Richstar
63,3 тыс. подписчиков
13 861 просмотр · 8 лет назад
Katika Tutorial hii nimejaibu ku share ujuzi wangu namna unavyoweza ku shoot na ku edit scene ya maongezi ya watu wawili au zaidi katika angles tofauti tofauti kwa kutumia camera moja Kama unavyofahamu kuwa shoot watu wawili katika angles tofauti tofauti ni changamoto kubwa sana kama ndiyo unaanza kufanya filamu au recording za video, Natumaini video hii itakupa mwanga na maarifa yatakayokuongoza zaidi katika Kujifunza kwako Pia Video hii Itakupa ujuzi zaidi katika kuzipanga clips zako za videos na kuzifanyia Editing kwa haraka zaidi kwa Kutumia Adobe Premiere Pro CC Natumaini utafurahia zaidi somo hili