Перейти к содержимому

POLISI KENYA NA TANZANIA KUSHIRIKIANA KUWABANA WAHALIFU WANAOKIMBIA

JIMBI TV

0:00 / 0:00

POLISI KENYA NA TANZANIA KUSHIRIKIANA KUWABANA WAHALIFU WANAOKIMBIA

3 139 просмотров · 1 день назад
JIMBI TV
34,2 тыс. подписчиков
3 139 просмотров · 1 день назад
Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Lungalunga nchini Kenya imesema itaendelea kushirikiana na Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga katika kudhibiti matukio ya uhalifu na kuimarisha usalama katika maeneo ya mpakani mwa Tanzania na Kenya. Kamati hiyo imesisitiza umuhimu wa ushirikiano huo katika kudhibiti vitendo vya kuvuka mipaka na kuingia nchini kinyume cha taratibu za kisheria, pamoja na kubadilishana taarifa zinazoweza kusaidia kuzuia na kupambana na uhalifu. Ushirikiano huo ni sehemu ya juhudi za kuimarisha mahusiano kati ya vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi hizo mbili, kwa lengo la kudumisha amani, utulivu na usalama kwa wananchi wanaoishi katika maeneo ya mpakani.