Перейти к содержимому

ENWZ - "Sitaki Choki afie kwangu" -Asha Baraka

EastAfricaTV

0:00 / 0:00

ENWZ - "Sitaki Choki afie kwangu" -Asha Baraka

39 734 просмотра · 8 лет назад
EastAfricaTV
1,25 млн подписчиков
39 734 просмотра · 8 лет назад
Kwa kipindi kirefu sasa waimbaji wa Twanga Pepeta wamekuwa wakimlalamikia uongozi wa Asha Baaraka kuwa ni mvivu na anatakiwa ampishe mtu mwingine kuiongoza bendi hiyo. Na Ally Choki tulipiga naye stori week iliyopita na akasema mwaka 2018 atafanya kazi zake mwenyewe kama mama Asha ataendelea kulala, na tumemuona Choki ameshaingia studio na Beka Fleva. sasa Leo Enewz tunaye mama Asha Baraka, Je ni kweli anakubaliana na Ali Choki na vipi yupo tayari kukaa pembeni kuiacha Twanga?