Перейти к содержимому

(SHABAHA) Nilitamani awe Daktari | Hawezi tena ana Mtindio wa Ubongo | Nahitaji Msaada | 16-05-2020

CLOUDSMEDIA

0:00 / 0:00

(SHABAHA) Nilitamani awe Daktari | Hawezi tena ana Mtindio wa Ubongo | Nahitaji Msaada | 16-05-2020

1 473 просмотра · 6 лет назад
CLOUDSMEDIA
1,55 млн подписчиков
1 473 просмотра · 6 лет назад
Ndoto za Mama Mariam Samwel ni kumuona mtoto wake akiwa daktari bingwa wa magonjwa ya akina mama, lakini leo ikiwa ni mwaka wa saba tangu mtoto Hamza Omari azaliwe maradhi ya mtindio wa ubongo yamemuweka chini na kufifisha matarajio yote.