"Tumeamua, tutaziroga ngo'mbe mvimbe matumbo" - Musukuma
Millard Ayo
0:00 / 0:00
"Tumeamua, tutaziroga ngo'mbe mvimbe matumbo" - Musukuma
1 179 671 просмотр · 9 лет назад
Millard Ayo
6,2 млн подписчиков
1 179 671 просмотр · 9 лет назад
Mbunge wa Geita Joseph Musukuma alikuwa miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi ya kusimama Bungeni leo May 24, 2017 kuchangia mapendekezo katika Wizara ya Maliasili na Utalii ambapo alilieleza Bunge kuwa Serikali imekuwa inawanyanyasa Wafugaji jimboni mwake wakilazimishwa kuwauza ng'ombe bila ridhaa.