Maamkuzi #swahili #learnswahili #swahilialphabet
Paukwa Podcast
0:00 / 0:00
Maamkuzi #swahili #learnswahili #swahilialphabet
4 025 просмотров · 4 г. назад
Paukwa Podcast
2,68 тыс. подписчиков
4 025 просмотров · 4 г. назад
Kila mwanajamii humjulia mwenzake hali kwa salamu.Katika mkusanyiko wowote ule, wapendwa nao hufika wakati ambapo wanafumukana kila mtu akienda njia zake.Je, salamu zipi hutumika wapi? Je,ni maagano yapi ambayo hutumika katika miktadha mbalimbali?