THE DARKNESS - PART 01 | SIMULIZI YA KIPELELEZI
Ankojay Simulizi
0:00 / 0:00
THE DARKNESS - PART 01 | SIMULIZI YA KIPELELEZI
45 055 просмотров · 4 нед. назад
Ankojay Simulizi
173 тыс. подписчиков
45 055 просмотров · 4 нед. назад
Simu ya mezani iliendelea kuita kwa muda bila kupokelewa, mkuu wa upelelezi Juma Shila hakushughulika nayo. Akili yote ilikuwa kwenye ripoti ya yaliyotokea Bunju, baada ya mwekezaji kukodi mabaunsa na kwenda kuvunja nyumba za wanakijij. Iliyopelekea mapigano ya silaha na kusababisha mauaji.