MAAFISA na ASKARI JESHI la ZIMAMOTO MWANZA na SIMIYU WALIVYOVISHWA VYEO VIPYA - "VYEO VIKUBWA MNO"..
Global TV Online
0:00 / 0:00
MAAFISA na ASKARI JESHI la ZIMAMOTO MWANZA na SIMIYU WALIVYOVISHWA VYEO VIPYA - "VYEO VIKUBWA MNO"..
1 975 просмотров · 2 года назад
Global TV Online
5,92 млн подписчиков
1 975 просмотров · 2 года назад
MAAFISA na ASKARI JESHI la ZIMAMOTO MWANZA na SIMIYU WALIVYOVISHWA VYEO VIPYA - "VYEO VIKUBWA MNO"...
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchini John Masunga kwa niaba ya Jeshi hilo amewapandisha vyeo maafisa na Askari mbalimbali wa Jeshi hilo 12 kutoka katika mikoa ya Mwanza na Simiyu.
Hafla ya kuwavisha vyeo vipya askari na maafisa hao, imefanyika leo Jijini Mwanza, na kuongozwa na Mrakibu mwandamizi wa Jeshi la zimamoto na uokoaji Mkoa wa Mwanza Elisa Mugisha kwa niaba ya Kamishna Jenerali wa Jeshi hilo.
Maafisa na Askari hao 12 ni kati ya 114 ambao walipandishwa vyeo toka juni 11, 2024 nchi nzima, baada ya kuhitimu mafunzo mbalimbali ya jeshi hilo ambayo ni Kozi ya Afisa daraja la kwanza na Mkaguzi daraja la kwanza.
Katika Hafla hiyo, Kaimu Kamanda wa Jeshi hilo Mkoa wa Simiyu, mrakibu msaidizi wa Zimamoto Faustine Mtitu, alikuwa miongoni mwa maafisa waliovishwa cheo kipya ambapo awali alikuwa na cheo cha Mkaguzi wa Zimamoto.
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉https://forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx