DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 13.10.2026 | Asubuhi | Swahili Habari leo | Podcast
DW Kiswahili
0:00 / 0:00
DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 13.10.2026 | Asubuhi | Swahili Habari leo | Podcast
9 160 просмотров · Трансляция закончилась 18 ч назад
DW Kiswahili
337 тыс. подписчиков
9 160 просмотров · Трансляция закончилась 18 ч назад
Miongoni mwa utakayosikia katika matangazo haya
#Kundi la waasi la AFC/M23 limetangazwa kuvunjwa huko Goma, huku rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Joseph Kabila Kabange, akitajwa kuwa kiongozi wa jukwaa jipya la kisiasa na kijeshi
#Utawala wa Iran wapandisha gharama za kijamii kwa wanawake wanaokiuka uvaaji wa hijab.
#Ethiopia na Eritrea zinaendelea kulaumiana kuhusu mapambano yanayoendelea katika jimbo la Tigray Kaskazini
#dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.