Перейти к содержимому

Siku ya Elimu | #Darsa: عقيدة الإمام التستري | Masjid Iman - Manzese | Sheikh Mujahid Raashid

Manhaj Online TV

0:00 / 0:00

Siku ya Elimu | #Darsa: عقيدة الإمام التستري | Masjid Iman - Manzese | Sheikh Mujahid Raashid

275 просмотров · 2 дн. назад
Manhaj Online TV
13,5 тыс. подписчиков
275 просмотров · 2 дн. назад
Darsa ya Kwanza katika Siku ya Elimu: Risala ya "Aqeedat Al-Imam At-Tustari" (Rahimahullah). 🎙 Mfundishaji: Sheikh Abu Muhammad Mujahid Rashid Almabruki حفظه الله 📍Sehemu: Masjid Iman - Manzese Dar es Salaam Katika darsa hii, Sheikh anafafanua misingi mikuu na alama zinazomtambulisha mtu kuwa katika Sunnah na Jama'ah (Manhaj ya Salaf), ikiwemo: 1. Kulazimiana na Jama'ah ya Waislamu na Shi'ar za dini. 2. Kutowatukana na kuwapenda Maswahaba (RadhiAllahu Anhum). 3. Kutotoka na silaha dhidi ya viongozi wa Waislamu na kuhifadhi amani na damu. 4. Kuamini Qadar (Nguzo 4 za Qadar) na kukanusha fikra za Qadariyyah na Jabriyyah. 5. Kutokuwa na shaka katika imani (Imani inazidi na kupungua). 6. Kujiepusha na mijadala, mizozo na marumbano katika dini. 7. Kutomkufurisha Muislamu na kumsalia maiti katika watu wa Qiblah. 8. Kuthibitisha sunnah ya kupaka juu ya khofu (viatu vya ngozi / soksi). 9. Kuswali swala ya jama'a nyuma ya viongozi (wema au waovu). 📌 Jiunge nasi kwa Kusubscribe, Ku-like na Kushare ili kueneza da'wah na elimu hii ya kheri. 00:00 - Utangulizi na Ratiba ya Siku ya Elimu 07:18 - Ujumbe wa Manhaj Online TV 08:21 - Utangulizi wa Darsa (Sheikh Abu Muhammad Mujahid) 10:45 - Umuhimu na Utukufu wa Elimu ya Aqeedah 12:54 - Kitabu cha Imam Al-Lalaka'i na Athar ya Imam At-Tustari 15:36 - Wasifu na Nasabu ya Imam Sahl ibn Abdillah At-Tustari 19:25 - Sanad na Kuanza Kusoma Matni ya Aqeedah 22:34 - Swali: Mtu atajuaje yupo katika Sunnah na Jama'ah? 29:20 - 1. Kulazimiana na Jama'ah ya Waislamu 34:40 - 2. Kutowatukana Maswahaba na Fadhila Zao 43:04 - 3. Kutotoka na Silaha Dhidi ya Viongozi (Kuhifadhi Damu) 48:00 - 4. Kuamini Qadar (Nguzo 4 za Qadar na Radd kwa Qadariyyah/Jabriyyah) 59:41 - 5. Kutokuwa na Shaka Katika Imani (Imani Inazidi na Kupungua) 01:03:04 - 6. Kujiepusha na Mijadala na Marumbano Katika Dini 01:06:24 - 7. Kutomkufurisha Muislamu kwa Dhambi na Kusalia Jeneza 01:09:39 - 8. Sunna ya Kupaka Juu ya Khofu (Viatu vya Ngozi) 01:14:27 - 9. Kuswali Jama'a Nyuma ya Kiongozi (Mwadilifu au Muovu) 01:17:03 - Muhtasari wa Masuala Makuu na Faida Muhimu 01:22:00 - Hitimisho la Darsa 01:22:36 - Ujumbe wa Kusaidia Da'wah (Manhaj Media) 📌 Subscribe kwenye chaneli yetu ya Manhaj Online TV kwa darsa zaidi, mawaidha, na nasaha za kisheria. 🔔 Gusa kengele ili uwe wa kwanza kupata taarifa kila tunapoweka video mpya.