Перейти к содержимому

St. Arnold Janssen School Documentary-Morombo

ST.ARNOLD JANSSEN

0:00 / 0:00

St. Arnold Janssen School Documentary-Morombo

21 просмотр · 8 дней назад
ST.ARNOLD JANSSEN
1 подписчик
21 просмотр · 8 дней назад
Tunamshukuru Mungu kwa mafanikio aliyotujalia hadi sasa. Mwaka 2026, tunafurahi kwamba tumefanikiwa kuwa na mahafali ya nne ya Darasa la Saba. Tunawaomba wadau waendelee kushirikiana nasi ili Motto wa shule wa "Kujenga Kesho ya Mwanafunzi" (Shaping the Future) uendelee kuzaa matunda mema, kwenye taasisi yetu na kwa wahitimu wote. Fr. Boniface Motika, SVD