MAOMBI YA USIKU (SHUKRANI, TOBA, KIBALI, ULINZI) - +255769896700
MAOMBI KWANZA
0:00 / 0:00
MAOMBI YA USIKU (SHUKRANI, TOBA, KIBALI, ULINZI) - +255769896700
348 425 просмотров · 1 г. назад
MAOMBI KWANZA
49,2 тыс. подписчиков
348 425 просмотров · 1 г. назад
Karibu kwenye maombi ya usiku yenye nguvu! Katika video hii, tunaingia mbele za Mungu kwa shukrani kwa mema yake, toba ya dhambi zetu, kuomba kibali mbele za Bwana, na ulinzi dhidi ya hila za adui. Ni muda wa utulivu wa kiroho, kuungana na Mungu kabla ya kulala. Tafuta uso wa Bwana, pata amani ya moyo na nguvu mpya kwa siku inayofuata. Jihusishe kwa imani, na usahau kusubscribe ili uendelee kupata maombi zaidi ya kukuimarisha kiroho. Karibu tuombe pamoja! #maombiyausiku #yesu #mungukwanza #imaniyakweli