Vick mond-niadhibu(Official video)
Vick Mond
0:00 / 0:00
Vick mond-niadhibu(Official video)
1 083 просмотра · 4 дн. назад
Vick Mond
113 подписчиков
1 083 просмотра · 4 дн. назад
🎶🔥 VICKY MONDI – OFFICIAL MUSIC VIDEO 🔥🎶
Hatimaye, kazi ambayo tumeitumia nguvu, muda na gharama kubwa kuifanya imefika kwenu! ❤️🙏
Hii si video ya kawaida, ni kazi iliyobeba ubunifu, juhudi na ujumbe maalumu. Nimejitahidi kuhakikisha nawapa kitu bora zaidi kwa ajili yenu, mashabiki wangu. 🎬🔥
🙏 Asanteni sana kwa upendo, support na kuendelea kusimama nami katika safari hii ya muziki.