Kama ni wewe nikufuate! || Best Kimali ministries
Best Kimali
0:00 / 0:00
Kama ni wewe nikufuate! || Best Kimali ministries
16 просмотров · 11 мес. назад
Best Kimali
374 подписчика
16 просмотров · 11 мес. назад
hata kama utakutana na Changamoto usiondoe focus yako kwa Kristo, endelea kumtaza na utashinda.
wana wa Israel walipoumwa na nyoka Mungu aliwainulia nyoka wa shaba walipomtazama waliishi.
Yesu ndiye nyoka wetu wa shaba, hata kama tutakutana na mambo gani tukiendelea kumtazama kwa kumwamini tutashinda na zaidi ya kushinda.
#bestkimaliministries #foryou #gospel